Aliyemuoa Mwanamuziki Meninah ni Mtoto wa Profesa Muhongo

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo sasa ni baba mkwe wa muimbaji wa ‘Shaghala Bhaghala’, Meninah Atick aliyefunga ndoa na mwanae, Abdukarim Haule.

Kwa mujibu wa gazeti la Mtanzania mahaba ya mtoto huyo wa Waziri Muhongo, Peter Haule yamemfanya abadili dini na kuwa Abdulkarim Haule ili aweze kumuoa Meninah ambaye ni muislamu. Wawili hao walifunga ndoa huko Kigamboni wikiendi iliyopita.

Japo hajasema chochote kuhusu ndoa yake zaidi ya picha zinazoashiria ndoa yao, Meninah ameandika kwenye Instagram:

Usichague msichana ambaye ni mzuri duniani, chagua anayekupa furaha duniani, maisha ni mafupi na huwezi jua kesho kuna nini, fanya mazuri, asante Mungu kwa kila njia ninayopitia, nazidi kukumbuka kwa kubadilisha maisha yangu na kutumaini milele
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. umeandika maneno bombay ..Allah Akuzidishie kila la kheri..bora umekumbuka shuka kukingali usiku..wenzako watastukia kumepambazuka ndio waanze kuvuta shuka..Allah Akuruzuku kizazi bora na ndoa ya furaha baraka na Amani...well done..100%

    ReplyDelete
  2. kwhiyo profesa muhongo anaitwa Haule au?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Nami nimejiuliza kama wewe. Labda Baba mlezi

      Delete
    2. hahahahahaha kaaziiii kweli kweli

      Delete
  3. hongera kaka yangu yote maisha na Mungu ni mmoja hatuendi mbiguni kwa dini bali kwa imani zetu.

    ReplyDelete
  4. hongera kaka wacha wabwabwaje wewe yako yamekunyookea.

    ReplyDelete

Top Post Ad