AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Kwa mujibu wa gazeti la Mtanzania mahaba ya mtoto huyo wa Waziri Muhongo, Peter Haule yamemfanya abadili dini na kuwa Abdulkarim Haule ili aweze kumuoa Meninah ambaye ni muislamu. Wawili hao walifunga ndoa huko Kigamboni wikiendi iliyopita.
Japo hajasema chochote kuhusu ndoa yake zaidi ya picha zinazoashiria ndoa yao, Meninah ameandika kwenye Instagram:
Usichague msichana ambaye ni mzuri duniani, chagua anayekupa furaha duniani, maisha ni mafupi na huwezi jua kesho kuna nini, fanya mazuri, asante Mungu kwa kila njia ninayopitia, nazidi kukumbuka kwa kubadilisha maisha yangu na kutumaini milele
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
umeandika maneno bombay ..Allah Akuzidishie kila la kheri..bora umekumbuka shuka kukingali usiku..wenzako watastukia kumepambazuka ndio waanze kuvuta shuka..Allah Akuruzuku kizazi bora na ndoa ya furaha baraka na Amani...well done..100%
ReplyDeleteAmeen
Deletekwhiyo profesa muhongo anaitwa Haule au?
ReplyDeleteNami nimejiuliza kama wewe. Labda Baba mlezi
Deletehahahahahaha kaaziiii kweli kweli
DeleteSo nice!
ReplyDeletehongera kaka yangu yote maisha na Mungu ni mmoja hatuendi mbiguni kwa dini bali kwa imani zetu.
ReplyDeletehongera kaka wacha wabwabwaje wewe yako yamekunyookea.
ReplyDelete