AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Afya ni majaliwa ya Mungu,leo kundi la OK linasimama majukwaani kwenye kampeni za ccm hata kutoa post mitandaoni za kudhihaki afya ya Lowassa wamesahau yalimpata mwenzao Vengu? mwaka wa nne leo yuko kitandani.ikumbukwe huyu jamaa alikua ni bingwa wa kumuigiza Mrema na maradhi yake kwa bahati mbaya Mungu kampiga kofi leo hii yeye ndio yuko kitandani na Mrema huyoooo yuko mzima kabisa.
Tukumbuke tunayo yafanya Mungu anatuona.kuna Leo na kesho.
----
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
-------------------
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
INTERNSHIP VACANCIES
GOVERNMENT VACANCIES
NGO'S VACANCIES
GOODLUCK
wengu nae kwani anagombea Uraisi,,,,wale ni comedian hata wakimtania afya ya lowasa sio ajabu tatizo mpo kishabiki kama timu za mpira,,,,,,,kila mtu ama uhuru wakufanya anachokitaka mradi asi vunje sharia ya nchi.
ReplyDeleteAfya ya Richmonduli ni ya kutisha ndio maana hata salaam yake sasa imekuwa CCM Oyeee!
ReplyDelete