RAY: Heshimuni Maamuzi Yangu ya Siasa...Nyinyi Tukaneni Mpaka Mchoke Maana Hata Mkwaruzo Sijapata

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

(  FREEDOM OF SPEECH )
Nyinyi tukaneni mpaka mchoke maana tangia muanze kutukana matusi hata mkwaruzo sijapata msinilazimishe kupenda mnachokipenda nyinyi. Heshimuni maamuzi yangu kwani kila mtu ana haki ya kufanya maamuzi anayoyaona kwa upande wake ni sahihi, nasema hivi wananchi wana akili timamu hawawezi kuwapa ridhaa ya kuongoza nchi hii kama wenyewe kwa wenyewe mnagombana mtaweza ongoza nchi hii mnavyoona watu wanajaa kwenye mikutano yenu mnafikiri mnapendwa hao wamekuja kuwashangaa mawaziri wakuu wawili waliohama chama tawala alafu kabila moja nasemaje kama umeshindwa kuiongoza familia yako utaiweza ya mwenzako amuwezi pata madaraka ya nchi. komaeni kwanza kisiasa labda miaka amsini ijayo ndio tuwafikirie kuwapa nchi baada ya kujiridhisha kama mshakomaa kisiasa. Over....Ray

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. CCM MBELE KWA MBELE,
    HAPA KAZI TUUUUUUUUUUUUUUUUUUU

    ReplyDelete
  2. HABARI NDIO HIYOOOOOOOOOOOOOO.

    ReplyDelete
  3. Kama Y.A.N.G.A ilivyo habari ya mujini,na CCM ndio hivyohivyo,KIMYAKIMYA!

    ReplyDelete
  4. 25/10/2015 UKAWA watakaaaaaaaaaaaaaaaaaa

    ReplyDelete
  5. kweli ray.Tunajua maamuzi pia hununuliwa.ni pale tunapokushanga kuwa kioo cha jamii halafu huioneshi hata dalili ya twasira hiyo.Naamini unakwaruzika na nafsi inakuhukumu.ndio maana unajibu.Nikushauri kama kufaidioka umefaidika wewe mwenyewe.unafuatia story za udaku ilishasemwa tangu mda kuwa wewe na wengine mtahamia huko kwa hongo.Mkahamia.Piga kimya kula bata.Acha watanzania waendelee na shida zao na mitazamo yao.

    ReplyDelete
  6. We Cute boy, Mtoto mdogo Uwape nchi umezaliwa juzi nchi umeikuta. Unajua historia ya nchi hii zidi ya kuwa cute boy.Nyinyi vitoto msio na heshima. Sababu ya mziki na usanii lakini hamjui nchi hii ni nani walipigana kuikomboa. Nyinyi ni mizoga vijana watupu msio na akili ubongoni mnapewa vipesa kupitia usanii, uhuni, hili si Taifa la vishangingi. Hili ni Taifa linalohitaji heshima na hadhi. Toa uchzi wako na Uwaheshimu Wazee waliokufikisha hapa. Wanataka usawa, maeendeleo ya kweli na ya haki kwa kila mtanzania na si kulipwa vijipesa vichache vya hongo. Wote Wasanii mnanunuliwa kama chupi. Msanii kazi yake kuhitimisha watu ili wajue haki zao. Visanii vyote vipo CCM kama vimalaya badala ya kutunga nyimbo kuwahamasisha na kuwaelimisha watu wote wawe CCM au Chadema. Wala hamjui uhuru wa mawazo ya kufikiri ni nini nyie vichanga. Mnakuwa kama visherati vya kulipwa bila kujitambua. Ni watu na vijana wakawaida watakao leta maendeleo na kuikataa CCM sababu wameshagundua kwa miaka mingi Tanzania ilivyokuwa shamba la bibi kwa wawekezaji wa nchi za nje halafu wakita Tanzania ni nchi maskini. Tanzania inaendeshwa na viongozi wenye akili maskini. Wamejidharau, hawajiamini, hawajithamini, na si wazarendo na hawana haya.
    Wangekuwa na haya wasingeringa kupokea hivi vijisenti vibilioni kupitia utalii. Sababu wao ni mizoga mitupu, wameshindwa kuwapa Watanzania wenye uwezo na uchungu wa nchi hii. Hivi vibilioni kwa hawa wawekezaji ni pato la mwezi mmoja tu. Akili hawana akina Makamba. Wamepewa uwaziri lakini si innovative(wabunifu) wa kutengeneza sera zao wenyewe na ziwanufaishe Watanzania wenye nchi hii. Ukosefu wa akili na kujifikiria ndio unaowafanya kuto kuelewa ninayoyasema. Ni kama unaongea na kiziwi asiyesikia au kumwonyesha kipofu pete ya almasi ambapo hawezi kuiona. Na nyinyi vitoto msio na mwelekeo, akili, ubunifu wa kujikomboa, nawaita ni wagonjwa. Mnapewa vijisenti hivi badala ya kuushika uchumi wenu wa nchi wala hamjui kabisa. Mnaona vijana hawana ajira, hamjiulizi kwa nini. Hamshangai Kikwete na Pinda kuwaingiza Wachina wauze magengeni na wala hawana kisomo chochote. Bado mnapigia debe serikali kandamizi. Ingawa mmeona majizi wakuu wa mabilioni kupitia ESCROW Kikwete kawasafisha na hawa wote warudi kwenye utawala uleule. Watu wa mitaani wanaakili kupita Wasomi wameona hayo na wanaimba CCM ni ileile, nyinyi mavunja vijisuti lakini mko uchi akilini. Tamka la maana nitakuheshimu. Lakini hustahili chochote. Funga domo lako kipusa boy.

    ReplyDelete
    Replies
    1. HUYU RAY MUUZA SURA NI KISURA, SHOGA ANAELIWA ILA WATU HAWATAMBUI..HANA MPANGO BALI TAMAAA.. TUNGOJE BAADA YA UCHAGUZI MUONE NAMNA GANI HAWA WASANII WASIVYOKUWA NA AIBU....

      Delete
    2. ushahabarishwa,tukana uwezavyo yeye hapati hata mkwaruzo.
      CCM,CCM,CCM,CCM.

      Delete
  7. Swala la ajira ni kilio cha dunia nzima,ni kujipanga na kutochagua kazi za kufanya,kwanza jiulize yeye Ray kaajiriwa na nani?Funga domo wewe kwanza.

    ReplyDelete

Top Post Ad