Swizz Beatz ameikubali ‘Nana’ ya Diamond Platnumz, amepost video mtoto wake alivyoicheza.. (+Video)

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Rapper na producer wa muziki toka Marekani, Swizz Beatz ni kama midundo ya Afrika ameanza kuikubali sana sasahivi.. kuna siku alipost yeye pamoja na mpenzi wake, Alicia Keys vipisi vya video wakienjoy midundo ya kwenye album ya staa wa Muziki toka Nigeria, Wizkid.

Muda mfupi uliopita jamaa kapost tena kipande cha video ya mtoto wake akiwa anacheza wimbo wa Diamond Platnumz, ‘Nana’ Feat. Mr. Flavour… kwenye post hiyo Swizz ameandika >>> “Vibes 💃👸 song by@diamondplatnumz #goodvibes” >>> @therealswizzz
A video posted by therealswizzz (@therealswizzz) on
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad