Ben Pol Aeleza Kwanini Hataki Kuonekana na Mpenzi Wake kila Wakati

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Ben Pol amesema ataamua kutembea kila sehemu na mpenzi wake baada ya kuona anakaribia kufunga naye ndoa.

Ben Pol ameiambia Bongo5 kuwa, kitu anachoogopa ni kuonekana mara kwa mara na mtu halafu siku chache watu wasikie wameachana.

Kusema ukweli nahisi bado,” amesema. “Unajua mpaka uanze kutembea na mtu kwenye public mpaka ujiridhishe vitu fulani fulani na labda muwe kuna hatua fulani mmefika. Uchumba nini ndoa, sio unatembea na mtu na kumuonyesha kumbe mna migogoro. Kwahiyo lazima vitu muhimu vifanyike kwanza, mauchumba na pete na baadaye ndoa inakaribia ndio mnaweza kufanya hivyo,” ameongeza Ben Pol.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad