BREAKING NEWS: Rais Magufuli amemteua mbunge wa Ruangwa, Majaliwa Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Hatimaye Kile kitendawili cha Nani Atakuwa Waziri Mkuu wa Awamu ya Tano Kimepata jibu asubuhi hii..
Rais Amemteua Mh Majaliwa Kassim kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Tanzania

Jina hilo limetangazwa leo na Spika wa bunge Mh. Ndugai.

Tusubiri kama ataendana na kauli mbiu ya #Hapakazi tu.

Je Kwa Maoni yako Anafaa kuwa Waziri Mkuu?
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hata kama hafai utafanya nn? Mzee Mwinyi kuna wakati alisema 'kila zama na kitabu chake', na mpaka leo huwa naheshimu sana kauli/msemo huu. Ni vema sote kwa pamoja kama watanzania tukajikita zaidi kwenye ufanyaji kazi wa bidii ili tuweze kuona nchi inapoelekea. uchaguzi umeisha sasa tuchape kazi

    ReplyDelete
  2. It is a surprise. Out of people's minds and like this kind of surprise. It shows that our president knows who will work in his accordance than what people say. Mwalimu usituangushe Kama mkulima. Tunategemea kuona unatumia hata fimbo pale inapobidi ili kuhakikisha watu wanaelewa na unafikia malengo yako Kama kiongozi.

    ReplyDelete
  3. Nina shaka kama ataweza kuhimilli vishindo vya upinzani Bungeni.

    ReplyDelete
  4. Mmmh! USIMJADILI USIYEMJUA, UTAKUWA HUJAMTENDEA HAKI, NGOJA TUSUBIRI TUTAJUA TU KAMA ANAFAA AMA VEPE.......SUBIRA YAVUTA HERI,

    ReplyDelete
  5. Anafaa sana tu tena sana. Anayemjadili vibaya ujue hataki kazi anataka siasa.


    ReplyDelete

Top Post Ad