Mtandao wa Wauza Madawa ya Kulevya Waanza Kushughulikiwa..Mmoja Akamatwa Leo Mwenge Akiwa Dukani Kwake

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Siku kadhaa nyuma niliweka Uzi unaosema Hussein Mafisi analindwa na nani?

Kwenye Uzi huo nililalamika ni nani anayemlinda Hussein Mafisi muuza madawa maarufu Mwenge. Leo muda wa saa 9 na dakika 45 amekamatwa. Gari tatu za Polisi zilifika Dukani kwake na kubeba mateja wote waliokuwepo na Hussein wenyewe..

Hii ni mara ya kwanza kukamatwa, daima hukamatwa mateja na yeye huachwa, lakini Leo kakamatwa. Nitasikitika Sana kama nitamkuta tena jioni akiendelea na biashara yake.

Magufuli kata Hii network ya wauza unga..

Source:Nazijaz/Jamii Forums
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Akachukue orodha kwa mwenzie alieshindwa kuwashughulikia kila aiku anayo majina Na hajawataja mpaka kamaliza mda wake Mzee WA anasa

    ReplyDelete
    Replies
    1. Na yeye alikuwa anauuza unga mwanaye
      Walikuwa wanapita VIP airport
      Chezea Msoga

      Delete

Top Post Ad