Mzungu Mikononi Mwa Polisi Baada ya Kutaka Kuikimbia Familia yake na Kuitelekeza Hotelini Jijini Dar...

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Raia wa Ujerumani akiwa mikononi mwa polisi kwa tuhuma za kutaka kuitoroka familia yake katika Hoteli moja jijini Dsm baada ya kutoelewana na mke wake mwenye asili ya Afrika. Raia huyo alikuwa nchini kwa mapumziko ya mwisho wa mwaka. Alijaribu kumtoroka mkewe akimwachia deni la hoteli la sh. 315,000 pamoja na watoto.

Kama Mwanaume, hili unalichukuliaje?
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

12 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Halingumu bongo mpakaulaya

    ReplyDelete
  2. Gubu La MWanamke Wa Kiafrika Hadi Kero, Mwanamke Huyo Ni Mpenda Anasa, Hapo Lazima Atakuwa Amelazimisha Kulala Hotelini, Hv Kwanini Hakufikia Kijijini Kwao? Mwanamke Wa Kiafrika Akimpata Mzungu Basi Akili Yake Yote Ni Kudhani Anamihela

    ReplyDelete
  3. Heeee kwenza nicheke Na hawa watoto si wake ndio maana anakimbia deni wake wapo ulayaaa

    ReplyDelete
  4. Bibi wenyewe anatisha hiyo minywele ya bandia

    ReplyDelete
  5. Na huu mjoto Na nywele hizo harufu hadi nyumba ya pili pweeee

    ReplyDelete
  6. Alidhani kila mzungu dili..Amuulize Mange..kamasi za pua zinamtoka...

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kaufyata mange
      Na kutaja wenzie wauza unga wakati baba yake alikuwa nanawatuma watu kuuza unga
      Hata mimi nilikuwa punda baba WA mange

      Delete
  7. Hakuna mtu baili km mzungu fyuuu atakoma nywele nyingi hajaoga wiki nasikia harufu hadi nyumbani kwangu

    ReplyDelete
  8. Labda alimtolea mzungu msululu wa matatizo. Nataka kufungua biashara, nataka kuhama hapa ninapokaa nikapange nyumba bora, mama yangu ana TB, mdogo wangu anahitaji ada, baba yangu kapooza, nataka hela niende saluni maana nywele hizi majanga....mzungu akoana asepe.

    ReplyDelete

Top Post Ad