AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Nahreel ambaye mwaka 2015 ametengeneza hits kama ‘Game’ ya Navy Kenzo, ‘Nana’ ya Diamond, ‘Don’t Bother’ ya Joh Makini na nyingine nyingi, amesema kuwa kutokana na ukarabati alioufanya katika studio yake, ameona aongeze bei ili kuendana na gharama alizotumia.
“Ukarabati huu unaoendelea unafanyika kwa kiwango kikubwa sana, kuanzia mazingira hadi vifaa vya studio vimekuwa vya kisasa. Lengo ni kutengeneza ngoma kali na zenye ubora zaidi na kuhusu price za kurekodi track zimebadilika kidogo ila nisingependa kuweka wazi upande huo coz unaweza ukaletewa kazi kubwa na msanii au mtu yoyote ikawa hailingani na bei niliyoitaja,” amesema Nahreel.
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Sawa kaka,usipofanya hivyo utakula wapi?
ReplyDeleteEti mbona wasanii mmepunguza zile safari za nje sana?au tuamini mlikuwa mapunda kweli?Hahahahahahahaha!Magufuli kiboko yenu,wote kimyaaaaaaaaaaaaaaaa,mnasikilizia kwanza.
Anonymous 11.26 umeona eeeh!takwimu kwa wasanii kwenda kupiga kazi za nje zimepungua ghafla,mlaaniwe na mtapukuchika mmojammoja kwa laana,mmepandikiza mateja wengi mitaani,shwain zenu.
ReplyDelete