Director Adam Juma Aingilia Malumbano ya Washabiki Wanaosema Video Mpya ya Ali Kiba ni Mbaya

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Siku moja baada ya staa wa bongofleva Alikiba kuiachia video ya ngoma yake ‘Lupela‘, leo Director wa long time Tanzania Adam Juma ameyatoa yake ya moyoni kupitia account yake ya instagramn baada ya kuona comments za watu wengine wakiikosa video yenyewe.

Adam Juma

“Lupela @officialalikiba , this is art, watanzania hatujui kuidadavua art. Hatujui thamani ya kitu, tunachukulia kiurahisi urahisi tu, kila mtu anajifanya anajua kitu ambacho sio sawa. Hii sio video tu, tulia basi angalia kwa umakini utapata ujumbe usipoelewa inawekana tatizo lipo kwenye level yako ya kuchanganua ujumbe ktk picha, btw sio fan wa alikiba ni mwana tu. Ningependa kusema video ni A one, haifanani na kitu ambacho tumezoe!!! Go kiba…...” – Adam Juma

Angalia Video Hiyo na Wewe Utoe Maoni yako Hapa:
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

18 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. KWELI KABISA HAO WANAOSEMBA NI MBYA WASHAZOEA NYIMBO ZA MAPENZI NA MAGOROFA YA SAUTH. WANAFIKI TUU. GOO KIBA.

    ReplyDelete
  2. Adam kwani huwajui visokonyiko wanaolipwa dakika 2 za voda? lazima wamfuraishe boss wao. but moyoni wanajua hamfikii Kiba hata iweje.

    ReplyDelete
  3. wanamkubali kumoyo Kiba ana majigambo wala kiki, kaja kivingine sio kukata viuoni kama masoga kila nyimbo.

    ReplyDelete
  4. na nyie mciwe kama vipofu, hiyo nyimbo Kiba kaimba mapenzi,kashindwa kuhusianisha ujumbe na mandhari ya picha, kama kweli anajua BC alitakiwa aimbe kuhusu utalii ili tupte ujumbe alioukusudia, video mbaya kwa kuangalia Tu soko la nje hawezi kupata promo kwa style hii

    ReplyDelete
  5. Bado kiba but if he will work hard atafika but bado sanaaa ukilinganisha na Dangote mtu haki yake mpe kibaa una safari bado mpaka uturn level ya Dai.

    ReplyDelete
  6. Kweli ya kawaida sana binafsi sijaipenda yaani namaanisha hainihamasishi

    ReplyDelete
  7. wanamacho but hawaoni washazoea kuona kiki za voda na uongo mwingiiii.

    ReplyDelete
  8. Kiba kabadilisa staily kafanya anavyopenda yeye. sasa kama hamtaki kachambieni kokoto.

    ReplyDelete
  9. Hamfiki nasibu anajua kiba ameshakwisha amwachie nasibu kiba pumzika

    ReplyDelete
  10. Hamfiki nasibu anajua kiba ameshakwisha amwachie nasibu kiba pumzika

    ReplyDelete
  11. sio Enzi za cinderela the game is change, umiza kichwa lakini unataka kushindana kimataifa hv, kk umechemka Sana, utasubiri treni urudi Kgoma, kama Baba levo

    ReplyDelete
    Replies
    1. Acheni usenge na kuleta ushabiki kwa Kila jambo mambo mengine hayahitaj ushabik umefanya poa king kiba kaza buti unaweza tupo pamoja kiba 4real

      Delete
    2. Uko vzuri kiba wanao sema mbaya wanachuki nawewe go ahead

      Delete
    3. Kaza buti kaka kiba binadam ndivyo walivo hawalzik hata chembe

      Delete
    4. Mimi naona nzuri tu iko poa go on Kiba

      Delete
  12. Tunajua kawatuma shogamwenzenu mwambieni aendeleekujiuza Nigeria mwambieni wanaumewenzio wanamualibu ndomanahatakuzaa hazai hiyo no tasa

    ReplyDelete

Top Post Ad