Iko Siku na Mimi Ntaitwa Mama – Wema Sepetu Afunguka

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Wema Sepetu ana kila kitu anachokitaka duniani, fedha, magari na vingine lakini amekosa kitu kimoja tu muhimu – mtoto.

Na Miss Tanzania huyo wa zamani anataka watu wajue kuwa suala la mtoto si kitu anachokichukulia poa hata kidogo. Muigizaji huyo alielezea hisia zake hizo kwa kupost picha akiwa na mama yake na kuandika: Iko siku na mimi ntaitwa Mama.’ Aliongeza emoji za mtu mwenye huzuni.

Miezi kadhaa iliyopita Wema na Idris walitangaza kutarajia kupata watoto mapacha lakini baadaye walitangaza kuwapoteza. Kwa muda mrefu Wema amekuwa muwazi kuhusu tatizo lake la kutoshika mimba katika muda anaotaka kufanya hivyo.

Mashabiki wake wameendelea kumpa moyo na kumtaka asikate tamaa.

“Usikate tamaa @wemasepetu unakumbuka sara wa ibrahim alizaa akiwa mzee sana cha msingi endelea kumwomba mungu na jiweke karbu nae hakuna kinachoshindikana kwake,” ameandika shabiki mmoja.

Chanzo: Bongo5
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Muombe MUNGU akusamehe wale uliowanyonga. Baadae ya hapo ndio umuombe akupe. Maana hukuzaliwa mgumba ila kwa kupenda usichana ukipewaunatupa chooni. Sasa unataka hupati. MUNGU akusamehe.

    ReplyDelete
  2. Na sio lazima maisha yako uyafanye matangazo. Kumuiga Kim Kardashian kunakufanya uwe mwehu na matako yako feki. Yule star huwezi kujifananisha nae. One thing you have in common ni uzinzi lakini mwenzio kaolewa na anazaa. Wewe vipi?

    ReplyDelete

Top Post Ad