VIDEO: Freeman Mbowe Kazungumza Baada ya Wabunge Kutolewa Tena Bungeni

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Headline za Serikali kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi ilitangaza kuwafukuza jumla ya wanafunzi 7802 kutoka Chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) kufuatia mgomo wa Walimu unaoendelea hivi sasa zimeendelea kuchukua nafasi Bungeni Dodoma.

Asubuhi ya May 30 2016 Baadhi ya Wabunge kutoka vyama tofauti walisimama Bungeni kuomba suala hilo kujadiliwa lakini ombi hilo halilikubalika mbele ya Naibu Spika Tulia  Akson. Baada ya kipindi cha pili kurudi mjadala ukakataliwa kwa mara nyingine.

Nakukutanisha na  Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Freeman Mbowe akiongea na Waandishi wa habari.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. pole mbowe naona umevimbiwa mmezoea ninyi wapinzani pole kwendeni zenu kwani nani anawahitaji

    ReplyDelete
  2. uwe na imani usiwe na imani umujilimbikizia mimali utajijuuuuuuuuuuuuu huna akili

    ReplyDelete
  3. tokeni tu kwani mkitoka mnafikili mnamtisha nani? kwendei kule hatuwahitaji

    ReplyDelete
  4. uwepo wenu bunguni ni sawa na sukari ukamwage baharini ukizani bahari itkolea sukari, mmevimbiwa nini muwepo msiwepo kimpango wenu

    ReplyDelete
  5. KAMA DJ VILE

    ReplyDelete
  6. Hilo ndilo tatizo kubwa la kufanya kazi kwa mazoea sasa hayo ndio matokeo yake.

    ReplyDelete
  7. Embrace changes! With JPJM. otherwise you will 😊 be left 👈 behind..your behavior and attitude will define your achievement and success..upo Mbowe!!!! Tunataka maendeleo na siyo siasa Zenu Uchwara na posho tunakata kwa watokao wote...wizi WA kimacho macho tunaukataa...usituibie na kundi lako wwewe ringleader..kaa chonjo saa mbaya Mama Tulia Yuko TULI

    ReplyDelete
  8. Hivyo wewe ulisha funga mashine za VAT.. Maanake Ni lazima TRA tuhakuki na leseni zote ziko Valid??

    ReplyDelete

Top Post Ad