CHID Benz Afunguka ya Moyoni..'Dawa za Kulevya Sitaki Hata Kuzisikia Zimeniumiza Sana na Kunidhalilisha Sana'

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

“Dawa za kulevya kwangu zinabaki kuwa historia, sitaki hata kuzisikia zimeniumiza sana kimawazo, zimenidhalilisha na zimepoteza mwelekeo wa maisha yangu, sina hamu nazo tena nina hasira nazo siwezi kuzirudia kwa sasa naangalia maisha yangu mapya katika muziki,” - Chid Benz.

Tupia neno moja la kumtia moyo
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. HONGERA SANA KWA KUFANYA MAAMUZI SAHIHI JARIBU KUFANYA SHUGHULI ZAKO KAMA ZAMANI NA UEPUKE VIKUNDI VYA MARAFIKI WENYE MAWAZO HASI,NAPENDA MZIKI WAKO

    ReplyDelete
  2. muombe mungu haa rey c alisema mbele ya rais kwamba hatarudia lakini kiko wapi

    ReplyDelete
  3. Ni kuomba mungu tu maana asilimia kubwa hurudia.

    ReplyDelete
  4. kuongea maneno ni raisi vitendo sasa,wengine waliapa mbele ya raisi saizi wamerudi kwenye rehab.

    ReplyDelete

Top Post Ad