Dk Tulia Akomalia Kuitwa Muheshimiwa Bungeni....Silinde Agoma...

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Msemaji wa Kambi ya Upinzani wa Wizara ya Fedha na Mipango, David Silinde, amejikuta kwenye mvutano na Naibu Spika, Dk Tulia Ackson, baada ya kuanza kusoma bajeti mbadala bila kumuita mheshimiwa naibu spika.

Silinde alianza kuwasilisha bila ya kumtaja Naibu Spika, Dk Tulia Ackson, hivyo kusababisha wabunge wa CCM kuguna.

Kutokana na miguno hiyo, Dk Tulia alimtaka akipe kiti heshima yake, lakini Silinde akamkatalia akisema si lazima kumwita Tulia mheshimiwa kabla ya kukubali kwa shingo upande.

“Kama unataka uheshimiwa sawa,” alisema Silinde na kuongeza: “Basi Mheshimwa Naibu Spika,” alisema na kusababisha ukumbi kupiga makofi.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Tulia Tulia
    Unapenda ukubwa hata miaka 40 huna
    Mtoto hata bungeni huna miezi
    Tulia Kama jina lako

    ReplyDelete
  2. Mtoto hata huyo Anna makinda hakuwa na vishindo hivi
    Alinzia mbali hadi akawa spika
    Mtoto kwa hiki jiphd toka kwa migiro
    Unajifanya unajuwa bunge kuliko waliokuchaguwa
    Poleni ccm
    Mtajuta na wingi wenu bungeni

    ReplyDelete
  3. haki yake apewe silinde utapasuka msamba usiige kunya kwa tembo

    ReplyDelete

Top Post Ad