Ninavyoishi na Aunt Ezekiel ni ndoa tosha – Mose Iyobo

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Dancer maarufu wa Diamond, Mose Iyobo amesema jinsi anavyoishi na Aunt Ezekiel ni ndoa tosha lakini atafunga ndoa ili watu wa verify kama instagram.
Mose Iyobo na Aunt Ezekiel wamefanikiwa kupata mtoto mmoja [Cookie] mwenye umri wa mwaka mmoja.

Akiongea kwenye kipindi cha E News, kinachoruka kupitia EATV, Iyobo alisema, “Lakini ninavyoishinae ni ndoa tosha kwa sababu tunaishi kama baba na mama hivyo nataka kujithibitisha inabidi nifunge ndoa ili watu wani-verify kama instagram.”

Aidha Iyobo ameongeza kuwa hapendi watu wanavyomzungumzia vibaya mzazi mwenzie huyo wakidai kuwa eti ni mzee kwani angelikuwa hivyo yeye asingelisogea kwa kuwa angelikuwa kama anatembea na mama yake.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. samahani iyobo wewe hata usemeje hakuna asie mjua aunty hata sungusungu na mende wanamjua kwa hivo as long as umeridhika basi heri zote lakini huyu mwisho wa siku ni mke wa mtu na kwa sharia ya kisilamu ikiwa kaweza kaweza kufanya hayo sasa basi na wewe ukae chonjo unless kaona hana tena soko hebu nijibane hapa sie tunakujua wewe bwana ila huyu bi dada hafai kakuona tu ni mpole ndio kaingia mzima mzima nikuuluze swali moha kweli huyu dada anakuheshimu kama baba cookie kaaushiwa tu kuwa makini brother

    ReplyDelete
  2. ndoa ni yenu wawili tu !! sion tatizo

    ReplyDelete
  3. Antie ni control freak. Hivi hata mkiwa mna do anaku control kama siku ile kwenye party ya mwanenu ? Iyobo umepatikanaje sasaa! ! Bora Mwengi mlikuwa mnaendana kuliko hili jike shupa.

    ReplyDelete

Top Post Ad