Profesa Mkilaha Ajipiga Risasi Bahati Mbaya na Kufa Wakati Akisafisha Bastola yake

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Prof. Mkilaha wa Engineering UDSM (Director General, Atomic Energy in Arusha and Chairman of SUMATRA Board of Directors) amejipiga risasi kwa bahati mbaya wakati akisafisha pistol yake akiwa nyumbani kwake Dar na kufariki.

Mungu amlaze mahali pema peponi!!

RIP PROF.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ni masikitiko yetu Watanzania Kuodokewa Na Mmoja wa Wazalendo wetu abao wametuamia Muda wao Katika Kuiona Tanzania Yetu Inasonga Mbele. Marehemu Mkilaha Ali kuwa siku zote yuko bega kwa bega katika utendaji na Uelekezaji wa Nguvu mbadala na mmoja wa Wasomi wakio kuwa katika nafasi na Upana mtarajiwa katika kuleta nguvu mbadala. Tunatoa Rambi Rambi kwa Familia ya Wafiwa na Ndugu na Jamaa wote na kumuomba Mungu akupeni Nguvu na Ujasiri katika kipind i hiki kigumu cha kuondokewa... AMEEN

    ReplyDelete
  2. R.I.P. ukiosha bastola unatoa risasi maana ni hatari. Tujifunze

    ReplyDelete
  3. ni kweli bahati mbaya???????????!!!

    ReplyDelete
  4. R.I.P Prof. Binafsi nimeshtushwa na nimepokea kwa hudhuni kubwa taarifa ya kifo cha Prof. mkilaha kwa ni mwez wa 5 tu alikuja Ruvu kutafuta spear ya Trekta ndipo nilipokutana nae na kufahamiana nae na badae kunishauri nimtumie yeye kama mwalimu wangu katika kuandika proposal mbalimbali kisha tukawasiliana mara nyingi kupitia sim yake ya mkononi na e-mail lakin cha kushangaza ikafika wakati namtafuta sikumpata tena nikahisi kabda kasafiri nje ya nchi kikazi kumbe inalilah waina iraihi rajiun Profesa.

    ReplyDelete

Top Post Ad