TAZAMA Shoga Alivyoojiwa na Zamaradi Katika Kipindi cha Take One Jana Usiku....Adai Anatamani Abebe Mimba Azae

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Sijui nianzaje ila dunia imeisha, Zamaradi anamuhoji shoga anaitwa Kaoge, Pamoja ni ngumu kuaangalia ila kunafunzo la kujifunza kwa kinji watoto wetu wa kiume tunavoweza kuwalea watoto wetu. 
 Mashoga wanaongezeka kwa kua waaribifu ni wengi na wengi ni watu wazito. Shoga anatamani kuzaa anataka kupandikiza na yupo kwenye harakati za kubeba mimba 
 Alikua anaitwa mwanamke tangu mdogo na baba yake na mitaani alikua anaitwa gody ka demu, Kiukweli wanaume tusifumbie macho ili swala malezi ya karibu zaidi tangu utoto ndio tunaweza kupiga vita USHOGA. Na si matusi kipigo na unyanyapaaji

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Halo
    Shughuli imefika patamu
    Aka
    Lisemwalo kumbe lipo
    Mambo hayo tulifikiri pwani tu ?
    Lakini asante umeonyesha kwamba ushoga si ugonjwa na wengi wapo kila kona
    Hongera mtoto wa kisukuma
    Mwanaguluka na chagulaga

    ReplyDelete
  2. Huyu shoga mtoka Magu mbona mchovu.

    ReplyDelete
  3. KWA MTAZAMO WANGU NAONA HICHO KIPINDI NA HII VIDEO NDIO VINAHAMASISHA ZAIDI USHOGA. MAANA HATA WALE WALIOKUWA WANAOGOPA SASA HATAOGOPA TENA KWANI WATAKUWA WAMEPATA CONFIDENCI KUTOKANA NA KIPINDI HICHO, MAANA KAMA MTU ANAWEZA KUJIACHIA KIASI HICHO,HATA MTU AMBAYE HAKUWA NA MAWAZO HAYO ANAWEZA KUFIKIRIA KUWA SHOGA.HAYA NI MAONI YANGU TU JAMANI.

    ReplyDelete
  4. Na wewe nishoga

    ReplyDelete
    Replies
    1. WEWE INAONEKANA NDIO SHOGA!!!

      Delete
  5. Yani mnahamasisha ushoga ao siyo, mfyuuuuuu

    ReplyDelete

Top Post Ad