Kanitafutia Kazi Sasa Nimekua Mtumwa wa Ngono Kwake

Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza Hapa
Hi guys, niaje?

Ni miezi miwili sasa tangu nimeacha kazi kampuni ya zamani, na sasa nipo kwenye kampuni nyingine, hii kazi mpya nimetafutiwa na Boss wangu ambae ndie mkuu wa idara yetu, nimepanda cheo kidogo, kule nilikuwa Karani na huku kupya mimi ni Supervisor.

Sasa huyu Boss alieniingiza kazini nimekua na urafiki nae tangu nimeingia hapa, kitu kinachonikwaza ni mwenendo wa huyu Boss wangu, yaani nimekua kama mtumwa, wakati wote anataka tufanye ngono, jioni wakati wa kuondoka anataka tubaki ofisini kwake, najikuta nafika home saa tatu hivyo kumkuta Mr wangu amesharudi Muda, inakua ugomvi, inabidi nimdanganye kuwa kazi mpya imekua too demanding kwangu, nachelewa kutoka.

Weekend ni hivyo hivyo, inabidi nisingizie home kuwa tunatakiwa kazini hata Jumapili, nimejikuta naishi kama mtumwa kwa sababu ya hii kazi aliyonipa huyu Boss, maneno maneno yamekua mengi hapa kazini miongoni mwa Staff wenzangu kuhusu mwenendo wangu na huyu Boss, nina wasi wasi maneno haya yanaweza kumfikia Mr wangu ikawa shida.

Natamani kuirudia ile kazi yangu ya awali, kazi hii mpya napata mshahara mzuri lakini nimekua kama mtumwa, wakati mwingine nikionesha dalili za kumgomea kubaki jioni anakua mkali na kuanza vitisho kwamba eti '' unasahau nani kakuweka hapo ''Inabidi tu nishiriki nae ingawa sipendi.

Naombeni ushauri nifanyeje?
_________

LOVE STORY YA UTANIKUMBUKA NEYLA Ipo tayari ni maandishi na Sauti !, Kuisoma yote Bonyeza HAPA Lipia tsh 1000 Tu mtandao wowote,au Tembelea www.makapedia.com

Tags

Post a Comment

12 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
 1. Mpuuzi kweli wewe yani tena mume unae..we unaona unachomfanyia mumeo ni sawa??we ukifanyiwa hivyo na mumeo utapenda?tena unasema hipendi si uache kazi....yan mm bado sijatoa utu wangu kwa kazi..aisee acha nibaki bila kazi Mungu yupo atanipatia kazi isiyo na masharti ya kishetan kama hayo...kumsaliti mume wangu hapana aisee ye kama anafanya afanye ila sijamkamata na sijui bt not me...am too beautiful,talented,smart n having brain... kuwa mtumwa wa ngono kwa boss unajitafutia migonjwa tu...mixxewww..ndoa ikivunjika uje utuambie pia...

  ReplyDelete
 2. Endelea nae Pumbavu wewe

  ReplyDelete
 3. Mpe mkundu akufile vizuri zaidi

  ReplyDelete
 4. mjinga sana wewe umejitoa ufahamu au. kama unajiamini na kazi wahy usimkatalie au why usimesemee kwa bosi wake... this is sexual harassment kazini na umekubali wewe mwenyewe kuwa harassed so acha kulalamika mshenzi mkubwa sana wewe

  ReplyDelete
 5. Ww mkatalie huyo boss uone atafanya nin linda heshima yako lol

  ReplyDelete
 6. Umefanya makosa makubwa kuku bali kumpa ngono.kukutafutia kazi sio haki kukudai wewe Ngono. Usijizalilishe na kuuza utu wako. Achana na hiyo kazi mungu atakupa nyengine.ulifikiria nini ulipompa mara ya kwanza? Ulidhani ni mara moja tu? Hilo liwe fundisho kwako acha tamaa ya maisha. Utakosa yote mwisho wake mume na hiyo kazi kwani huyo boss anakutumia tu.

  ReplyDelete
 7. We ni mpumbavu kweli! Kwahiyo akikupa ukimwi ukamuambukize na mmeo sasa watoto wabaki yatima kisa kazi! Kwanza huyo boss unafikiri ameshatembea na wangapi! Yaani ww akili yako haina akili!

  ReplyDelete
 8. Umefanya makosa makubwa kuku bali kumpa ngono.kukutafutia kazi sio haki kukudai wewe Ngono. Usijizalilishe na kuuza utu wako. Achana na hiyo kazi mungu atakupa nyengine.ulifikiria nini ulipompa mara ya kwanza? Ulidhani ni mara moja tu? Hilo liwe fundisho kwako acha tamaa ya maisha. Utakosa yote mwisho wake mume na hiyo kazi kwani huyo boss anakutumia tu.

  ReplyDelete
 9. wewe ni Malaya tu..unataka ushauri gani sasa?mimi ningekushauri usimpotezee muda mumeo maana na magonjwa utamletea ndani..fisi wewe..si unapenda sana hela..hamia kwa bosi wako

  ReplyDelete
 10. Tubu kwa mola wako na usirudie tena huo uovu. Muambie huko tayari kuendelea na uovu huo na kama ni kazi basi. Kufanya hivyo utakuwa huru katika maisha yako.

  ReplyDelete
 11. Mpumbavu na lofa. Sina ushauri zaidi yang we we kwenda kwenye taasisi ya wanawake.
  Pia pata video toka kwa waandishi umpeleke mahakamani.

  ReplyDelete
 12. Kwanza pole sana....Vitendo kama hivi ni vya kishetani na vinapaswa kuangamizwa Kabisa. Ziko njia nyingi kumkomesha lakini njia mbadala ni kumtega na camera halafu peleka mbele ya sheria iwe funzo kwake na wenzie walio na tabia kama hiyo

  ReplyDelete

Top Post Ad