Nataka Kuwa Mcha Mungu, Maisha ya Kuendekeza Dunia Nimeyachoka – Shamsa Ford

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Malkia wa filamu na mama wa mtoto mmoja, Shamsa Ford amefunguka kwa kusema kuwa kwa sasa anataka kujikita zaidi kwenye ibada ya kufanya mambo ambayo yanampendeza mwenyezi Mungu.
Shamsa akizungumza baada ya kufunga ndoa

Mwigizaji huyo ametangaza uwamuzi huyo ikiwa ni miezi michache toka afunge ndoa na mfanyabishara wa maduka ya nguo, Chidi Mapenzi.

Maisha ya kuendekeza dunia nimeyachoka. Natamani ifike siku kwa kudra za Mwenyezi Mungu nibadilike. Natamani niwe mmoja ya wale watakaopata nafasi ya kwenda peponi pamoja na familia yangu . natamani nifanye IBADA kama ulivyoamua Mwenyezi Mungu. NATAMANI matendo yangu yawe ya kukufurahisha wewe Mwenyezi Mungu ili umauti utaponikuta niwe msafi..G9T MY PEOPLE. ..INSHAAALLAH MWENYEZI MUNGU ATUPE MWISHO MWEMA. .
Mashabiki wake katika mitandao ya kijamii wameonyesha kupendezwa na uwamuzi huo huku wachache wakimuuliza maswali kama ataendelea kufanya tena filamu.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Jinsi unavyovaa nguo zako na msemo au nia yako ni njia mbili tofauti Chausiku

    ReplyDelete
    Replies
    1. picha ya zamani hiyo

      Delete
    2. Uamuzi mzuri dada yangu.kwani hakuna anaejua lini ataondoka duniani na atasema nini kilichomfurahisha MWENYEEZI MUNGU.
      UBARIKIWE.

      Delete
  2. Nyie wasanii mnanishangaza wengi mnalilia ndoa kln hamuezi ndoa achana na media tulia utaharibu ndoa haina haja kutangaza na hizo picha as mabasi ya ovyo acha kutupia kwenye mitandao

    ReplyDelete
  3. Duu nimependa Dana maneno yako. .May Allah Guide you sister

    ReplyDelete

Top Post Ad