MTOTO wa Diamond Platnumz Awa Mtoto wa Kwanza Africa Kufikisha Followers Milioni Moja Instagram

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Hakuna ubishi kuwa Princess Tiffah ndiye mtoto maarufu zaidi Afrika kwa sasa. Umaarufu wake unazidi kuongozeka kiasi ambacho wiki hii amefikisha followers milioni 1 kwenye mtandao wa Instagram.

Umaarufu huo hajahangaika hata kuutafuta kwakuwa ni mtoto wa couple maarufu zaidi pia Afrika – Diamond na Zari.
Akaunti yake husimamiwa na mama yake ambaye katika kusherehekea hatua hiyo ameamuandikia: Who wouldn’t be excited with a new Bentley whip 🚘 THANK YOU MY 1 MILLION FOLLOWERS😘.

Zari na Diamond wanatarajia kupata mtoto wa pili mwezi ujao.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. mimi bado najiuliza kwa nini Tiffah hakufanyiwa birthday kama ilivyotangazwa? Sababu kama mnavyosema kuwa ni mtoto maarufu Africa sasa kwa nini alikosa birthday? Au pesa haikuwepo

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ilifanyika South Africa anakokaa mama yake. Sio lazima mpka kila kitu kifanyiwe Tanzania. Na minjonjo kibao ya ushakunaku

      Delete
  2. Viewers zinauzwa jamani,, acheni kujishauwa na kujitukuza

    ReplyDelete
  3. Ulitaka wakualike na wewe kwenye birthday

    ReplyDelete
  4. Kama follwers wananunuliwa basi nunua na wewe uwe maalufu. Tujifunze kukubali ukweli japo unaweza kuwa unatuuma kwa sababu zetu za ushindani na zisizo za maana

    ReplyDelete

Top Post Ad