Tausi Mdegela: Watoto wakiniona wanatafuta vitenesi tucheze

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mwigizaji wa bongo muvi kwa upande wa komedi Tausi Mdegela amesema, mara nyingi akiwa sehem za matembezi, watoto wengi wanamkimbilia na wengine kutafuta vitenesi ili wacheze wakidhani supastaa huyo ni mtoto mwenzao.

Watoto wengine wanakuwa wanawasumbua wazazi wao(mama zao) wawanunulie nguo kama alizovaa Tausi. Tausi amesema anapenda sana watoto na muda si mrefu anategemea kufunga ndoa na mchumba wake wa muda mrefu japokuwa hakusema ni lini. Ameongezea pia mchumba ambae anatarajia kufunga nae ndoa ana kimo kirefu mwenye kuweza kuzima taa wanapokuwa chumbani. Muigizaji Tausi ameongea haya wakati anahojiwa na Dina Marios katika kipindi cha uhondo E fm radio.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hemed PHD. anafaidi mpaka tunaona wivu. NDIYO MAISHA mama. HONGERA

    ReplyDelete
  2. Mwanangu! Umetisha.

    ReplyDelete
  3. hongera sana mrembo mfupi mwenzangu, shemeji hapo kapata mke mwema

    ReplyDelete

Top Post Ad