ALICHOANDIKA Zari Baada ya Kurudi Nyumbani Akiwa na Mtoto wa Kiume

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Hatimaye Zari na Diamond wamefanikiwa kupata mtoto wa kiume aliyezaliwa saa 10:35 alfajiri kwa saa za Afrika Mashariki, Jumanne, December 6.

Mtoto huyo amezaliwa kwenye hospitali ya NETCARE ya Pretoria nchini Afrika Kusini.

Diamond na Zari wameonesha furaha kwa ku-share picha za mtoto kwenye mitandao yao ya kijamii...


zarithebosslady: thanking everyone for your prayers, we are all doing fabulously ok

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

16 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
 1. Sasa wewe bwana yako yuko kule kwenye majukwaaa anakata viuno na wewe uko huko kwenye ma hospitali una totoa vitoto dah. Yani mpaka unatia huruma. Kwani zile biashara zako ziko wapi na je ni nani anayezisimamia wakati wewe uko busy unatotoa watoto??????????

  ReplyDelete
  Replies
  1. POVUUUU,BIASHARA ZAKE ZINAKUHUSU NINI WEWE?HATA ATOTOE KUMI HATAKUOMBA MSAADA WA KUSOMESHA HAO WATOTO,NA WALA HAJAJA KUKUOMBA CHAKULA,KWA UJUMLA MAISHA YAKE YANAKUHUSU NINI WEWE?MTAISHIA KUKODOA KODOOOOOO!

   Delete
  2. Acha ujinga AnonymousDecember 7, 2016 at 5:03 AM chuki zikizidi sn zitakufanya uwe mchawi

   Delete
  3. HUNA AKIRI WEWE ANONY 5.03AM KUSOMA HUJUI HATA PICHA HUONI??? KWA TAARIFA YAKO WAKATI ANATOTOA NA MZAZI MWENZIYE ALIKUWEPO TENA LEBA NA WEWE KATOTOWE WA KWAKO ACHANA NA FAMILIA AMBAYO HUIJUI NA HAIKUJUI

   Delete
  4. Zari hana biashara wala utajiri wowote. Kwa sasa hivi anamtegemea sana Diamond . Pesa alizokuwa anatamba nazo mwanzoni kabla hajazaaa na Diamond alikuwa akipewa child support ya $10000 kwa mwezi na mme wake wa kwanza ambaye alikuwa amemenunulia nyumba. Baada ya kuzaa na Diamond jamaa alianza kutokupenda kuwa anatoa Child support ya watoto wake ikawa inatumiwa pia na watoto wa mwanamme mwingine. Itabidi sasa Diamond awe anamgharimia kila kitu kwa vile Zari haishi na watoto wake wa mme wa kwanza tena, hivyo ile $10000 kwa mwezi nayo imekatika.

   Delete
  5. We anony:5.03am uko hoi kimawazo. Huna lolote zaidi ya wivu. Na bado uta wivuka sana. Zari na familia yake hwakujui na hawakaa wakujue. Umeweka vocha ya elf kwenye techo yako sasa imekula kwako. Wewe utakuwa timu Esma, timu ununio au timu Mabeto. Kuleni ndimu mbwa nyie mfyuuu

   Delete
  6. So HANA kazi ana ZAA OVYO wewe inakukera nini una sound kama mwanamke aliyekataliwa na DIAMOND AU NIMWANAMME MSENGE ANAMPENDA DIAMOND.DIAMOND KA MFUATA ZARI GOMBANA NAYE ZARI HAIMUHUSU KUZAA ATA ZAA TENA KWA NGUVU ZA MUNGU POLE KWA WIVU

   Delete
  7. ZARI ZA HUYU KATUMWA NA KINA EX W.AU YULE ANAYEMTAKA KWA UTAJIRI WAKO.ZARI ZAA TENA SANA

   Delete
  8. Sasa kwani akimtegemea wewe ina kuhusu nini hela ZAKO hi ni wema AU HAMISA MOBETTO KAKOSA MONDI SASA KUZURURA SHUKURU ALIKULIPA HELA NZURI KWENYE SALOME.DO TAMMA ILIWUA FISI HAMTOWAWEZA FAMILIA YA NASEEB

   Delete
 2. KHARAMU TUPU NA OVYOOOOOO!

  ReplyDelete
 3. Walete tu mama.Wale waliokuwa wanadai DNA kimyaaaaaaaaaaaaaa.

  ReplyDelete
 4. WENYE WIVU WAJINYONGE ZARI ZAAAA TU MAMA HATA ISHIRINI NI MAAMUZI NYENU. ROHO ZINAWAUMAJE HAHAHA

  ReplyDelete
 5. Seriously Zari is a good business woman. Hiyo ya kumzalia D nayo ni biashara ati. Sio wivu, ni fact. Kalagabaho.

  ReplyDelete
 6. hongera zari mungu akukuzie wanao wawe na afya njema na wawe watoto wema kwako na kwa jamii.wanafiki mtaishia kuchambua na kuambulia maganda

  ReplyDelete
 7. Nafikiri sasa kapata kama ameweza kununuliwa nyumba nafikiri watoto wake hawawezi kuteseka tena kuishi nyumba za kupanga. Ni kweli Zari hana pesa kwani alikuwa anamtegemea Ivan ndo maana hata nyumba ya kuishi ilikuwa taabu. Lazima amganganie Diamond la sivyo atarudi uswahilini.

  ReplyDelete
 8. DUHH pesa ya mondi atakula KUZAA atazaa amua kukumbatia transfoma

  ReplyDelete

Top Post Ad