AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Je kuna ukweli wowote hapo???
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Huo wimbo sijui "Too Much" hauna lolote lile ukiachilia hizo beats na hizo clothing line walizovaaa kuanzia huyo mwimbaji na hao akina video queen. Otherwise ni wimbo wa kawaida sana na tena hauna hata mantiki. Huwezi kumfananisha huyo kinyogoli na akina Jay Z hiyo ni sawa sawa na kuyalinganisha maji na mafuta. Ni kitu ambacho hakiwezekani kabisa. Kwanza ni kwa nini hao ma video queen ni waneeene hata hawapendezi. Ni kwa nini msiwaweke wale ma video queens ma model. Mademu wembamba wembamba hivi.
ReplyDeletembona wanapiga mziki tofauti?acheni uchanganishi,alafu diamond amevuka boda tayari.
ReplyDeleteDarasa ndiyo nani? Ametoa ngoma gani, hebu tuwekeeni tuburudike nayo basi
ReplyDeleteDARASA AENDE DALASANI KWANZA DOMO NINOMA INTERNATIONAL ARTIST
ReplyDelete