Kudadadeki..Hii Hapa Video ya Diamond Akishusha Matusi Mazito Kwa mashabiki Zake,Huku Akitaja Kiasi cha Pesa Alichonacho Benki(Video)

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Bro,as a celeb this is not the right way,you need to change your behavior especially on social media,this my piece of advice for you!!!

    ReplyDelete
  2. Hata kama wapo watu wanaokuchukia kwa nini ubwatuke hivyo?ukikaa kimya ni bora zaidi kuliko hivyo ulivyofanya.UKIFUKUZANA NA KICHAA KWA KUPIGANA MAWE NA WEWE KICHAA.

    ReplyDelete
  3. bill get hajajisifu hata siku moja na anapesa chafu. Domo acha ulimbukeni nyuma hata kobe anayo.

    ReplyDelete
  4. kama unapesa mbona bado unaangaika na mziki. tena hutaki hata mtu awe juu yako. but Darassa kakukomesha. stupid mothefacker.

    ReplyDelete
  5. 40 ya mtoto wa Katunzi mpaka awaombe ma company wamlipie ili aonyeshe watu yeye ni tajiri kumbe anadanga usiku na mchana.

    ReplyDelete
  6. Hahahaaa! eti anapesa na majumba. sasa anaelala nje ni nani? kweli uhayawani hauna mwenyewe.

    ReplyDelete
  7. Unaweza kuwa na pesa pamoja na mali za kutupa lakini ukakosa Amani ya Roho kitu ambacho ni muhimu sana katika maisha. Sasa Domo huna Amani ndani ya Roho yako pamoja na hivyo vijisenti vyako ambavyo hakuna watu wowote wale wanaovishobokea zaidi ya huyo Kijeba wako Zari pamoja na hao madansa wako na mademu wengine feki feki.

    ReplyDelete
  8. Unajifanya una maajabu. Ni maajabu gani hayo uliyokuwa nayo ambayo ni mapya saaaanaaaa hapa Duniani. Kwa kweli akili ni nywele na kila mtu ana zake ikiwamo na zako hizo za bandia motherfucker........

    ReplyDelete
  9. Wacheni awatukane kila kukicha viongozi wenu wanawaita washenzi hao eti ni mastaa ( Kioo cha jamii !! ) Mnafanya vibaru mpate pesa ili kwenda kuangalia shoo zao. Diamond wape ukweli wao malofa wa ki-TZ.

    ReplyDelete

Top Post Ad