Dogo Janja Amlilia Paul Makonda..!!!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Rapa Dogo Janja ambaye anafanya vyema na wimbo wake 'Kidebe' amefunguka na kumuomba Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam, Paul Makonda kuanzisha kampeni nyingine ya wezi wa vipuli vya gari.

Dogo Janja anasema kutokana na namna Mkuu wa Mkoa alivyoweza kusimamia vyema suala la madawa ya kulevya anaamini kuwa kiongozi huyo anaweza kuanzisha kampeni nyingine ya wezi wa vipuli vya magari ambao wanazidi kuongezeka mjini na kuwaliza.

Dogo Janja amesema hayo baada ya wezi hao kumliza kwa kuiba vitu kwenye gari yake. 

"Mheshimiwa Makonda tunashukuru umelisimamia vizuri suala la madawa ya kulevya na tumeona matunda yake. Lakini bado kuna hili la hawa wezi wa vipuli vya magari kama taa, radio, power window, naona kama alijaongelewa hivi. Hawa jamaa wapo wengi sana mjini na wanajulikana wanakuibia halafu wanakupigia simu wapi pakuvipata vitu vyako. Mheshimiwa tuanzishe na kampeni hii tupunguze kutiana hasara..ki-gari changu chenyewe ndiyo hiki natafutia riziki jana usiku wamekuja wameiba kila kitu radio, taa za mbele na nyuma, nitatokaje kujitafutia riziki? Alihoji Dogo Janja
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad