Video za Taarab Zampeleka Khadija Kopa Kambini..!!!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Malkia wa taarabu nchini Tanzania Khadija Kopa amesema kwa sasa anajipanga ili aweze kufanya video tofauti na video za kawaida za muziki huo.

Akiongea kupitia eNewz ya EATV, Khadija amesema "Video tunazotaka kuzitengeneza ni zile za kiwango cha juu ambazo kuna wadhamini ambao watakaotudhamini ili tuweze kukaa kambini kwa siku mbili hadi tatu ili kutengeneza video zenye kiwango cha juu na zakimataifa" Amesema Khadija

Khadija Kopa pia amesema bado yuko fiti katika fani hiyo huku akitumia kauli ya "Ng'ombe hazeeki maini" na amelithibitisha hilo kwa mashabiki zake kupitia show kali aliyoipiga siku ya jana katika ukumbi wa Hisaje Park, Boko Magengeni DSM, akishirikiana na Young Killer.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad