Kimenuka CCM..Sophia Simba Amvimbia Magufuli,Asema Ahami na Haondoki CCM Ng'oo...!!!!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Siku moja baada ya mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA kuwakaribisha kwenye chama chake kipya waliofukuzwa CCM kwenye mkutano maalum, aliyekuwa mwenyekiti wa UWT, Sophia Simba amesema amukua kwenye chama hicho kwa miaka 46 na hataenda chama kingine bali atabaki kuwa mkereketwa mwaminifu wa chama cha mapinduzi.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Huu ndio msimamo thabiti,sio mtu unapata msukomsuko ndani ya chama chako siku mbili unahamia kwingine.Hata Zito alinifurahisha sana,hakukurupuka kujiunga ATC-Wazalendo.Bora kubaki bila chama kuliko kwenda upinzani kwa sasa.Mimi naamini kama hizo tuhuma dhidi yako sio kweli,Mungu atatenda tu,kuna siku watakuomba msamaha wale wote waliochombeza uonekane msaliti.

    ReplyDelete
  2. Kawavimbia Lowassa na Mbowe ndio waliomwita sio Magu usiandike habari kikereketwa

    ReplyDelete
  3. Hapa sasa ndio tutawajua nani alikuwa CCM kweli, na nani alikuwa pandikizi

    ReplyDelete
  4. Ewe bibi wee. Umeshaambiwa hutakiwi na umeshafukuzwa. Hutaki kuenzi utu
    na heshima yako? Wewe wakikwambia hawakutaki mara moja wewe waambie kuwa nawe huwataki mara kumi. Kwanini unajifanya rahisi na huwataki wale wanaokutaka, kukonea hurma na kukupenda au nawe unajihishi huna thamani? Wewe ni Simba

    ReplyDelete

Top Post Ad