RASMI..Flora Mbasha Kufunga Ndoa Wiki Ijayo..!!!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mwimbaji wa muziki wa Injili nchini, Madame Flora (Flora Mbasha zamani), Jumapili ya wiki ijayo anatarajia kufunga ndoa na mume wake mtarajiwa Daudi Kusekwa katika bustani za hoteli ya Rock Beach jijini Mwanza.

Madame Flora ameliambia Swaggaz kuwa ndoa hiyo itaambatana na uzinduzi wa albamu yake mpya inayoitwa Wakati Wake pamoja na kitabu alichokipachika jina la Siri za Flora Mbasha.

“Ndoa itafungwa asubuhi na jioni kutakuwa na sherehe ya harusi, utambulisho wa albamu yangu mpya pamoja na kitabu, watu wote wanakaribishwa kadi zimebaki chache tu kutokana na idadi ya ambayo imepangwa na kamati,” alisema Flora.

Chanzo. Mtanzania
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Enter your comment...Ndoa alishafunga zmn kwa mujb wa maandiko itakuwa ni uzinzi tu!

    ReplyDelete
  2. mimi sidhani kama ndo halisi ya kikiristo huwa inavunjika yeye aseme siyo mkristo lasvyo atakuwa anadanganya kuwa bwanabwana lakini hakuna ndoa yakikiristo inayo vunjika huwo ni uwongo

    ReplyDelete
  3. mimi sidhani kama ndo halisi ya kikiristo huwa inavunjika yeye aseme siyo mkristo lasvyo atakuwa anadanganya kuwa bwanabwana lakini hakuna ndoa yakikiristo inayo vunjika huwo ni uwongo

    ReplyDelete

Top Post Ad