PLEASE Help-Siwezi Pitisha Siku Bila kutembea na Malaya

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mimi ni Kijana wa Miaka 27 , Nimemaliza chuo Mwaka Jana ...Now nafanya kazi katika shirika moja kubwa hapa Dar es salaam , Wakati nilipokuwa  chuo mimi na wenzangu tulikuwa na mchezo wa kwenda pale Corner Bar Kuchukua wasichana wanao Jiuza wa bei ndogo na kujiridhisha...Mchezo huu umeendelea mpaka nimemaliza chuo na nina kazi yangu ..Huwa nasikia raha sana kulala na hao watu...Nina Girlfriend wangu ila huwa nikilala nae sisikii  raha kama nikiwa na changudoa....Sasa jioni mara nyingi huwa natoka na kwenda mitaa ya Sinza kutafuta wa kuwa nae kwani kupitisha siku bila hiyo kitu siwezi...

Nataka niiache hii Tabia Naomba Ushauri nifanyaje....Admin Plse Post hii Ili watu wanipe Ushauri....
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad