AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Uzinduzi huo ulitarajia kufanywa na Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Anastazia Wambura katika ukumbi wa Desire Park .
Akizungumza juu ya hatua ya kukwama kwa uzinduzi huo Naibu Waziri Wambura, amesema kuwa kilichotokea alipatiwa taarifa kwa Mkuu wa Mkoa kwamba kuna picha ambayo sio nzuri na kwamba wao kama mgodi walilalamika juu ya picha hiyo na kwamba wameangalia na kuona kuwa kuna maeneo ambayo yamerekodiwa sio mazuri na tatizo ni mawasiliano baina ya Afisa utamaduni na Mkoa.
Kwa upande wake Mwenyekiti wa chama cha wasanii Mkoani Humo ambaye pia ni moja kati ya wachezaji wa Filamu Hiyo Bi, Rosemery Michael, amesema kuwa wao hawakuona mapungufu yoyote kwa maigizo ambayo wameigiza kwenye filamu hiyo ni uhalisia wa maisha ambayo yapo ndani ya Mkoa husika.
Baadhi ya wasanii na wananchi ambao wameudhuria siku ya jana kwenye uzinduzi wa Filamu Hiyo, Sagari Mganga na Neema Philipo wamesema kuwa hata wao wameshindwa kujua ni maswahibu gani ambayo yamejitokeza ambayo yamesababishwa filamu hiyo kutokuzinduliwa.
Manase Ndoroma ni meneja mwandamizi wa mgodi ambaye anashughulika na maswala ya jamii, ndani ya Mgodi wa Dhahabu wa Geita (GGM) amefafanua kuwa wao hawana ugomvi na sanaa wala na wasanii ila kumetokea shida ambayo wametoa kwa jamii kwa makusudi na kwamba mgodi huo una athari kwa jamii ambayo inauzunguka.
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Huo ndio ukweli SI akasia Tu ambao tuna mgogoro Ni wote wizi. Ashant na GGM Wote mko kapu moja na nyinyi ndio zaidi kabisa manake mpaka ndege zenu zinatorosha mkisaidiwa na baada ya wakati WA nchi hii. JIPANGENI NA MUWE WAKWELI NA TUTAHAKIKI KAMA ILIVUO KWA BRADLEY NA CREW. MNATUIBIA SANA
ReplyDelete