Alichokipost Diamond Baada ya Ali Kiba Kuachia Wimbo Wake

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Alichokipost Diamond Baada ya Ali Kiba Kuachia Wimbo Wake wa
Muda mfupi baada ya mwimbaji staa Alikiba kuachia video ya wimbo wake mpya ‘Seduce Me’ leo August 25, 2017, staa mwingine wa Bongofleva kutokea WCB, Diamond Platnumz amepost picha kwenye Instagram.

Diamond amepost picha ya mtu akicheka kitu kilichowafanya mashabiki kuunganisha matukio wakidai huwenda picha hiyo ni ujumbe baada ya kuusikia wimbo wa Alikiba.



----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. wivu unamsumbua. muoneni huruma.

    ReplyDelete
    Replies
    1. wivu unamsumbua juu yako kenge wewe

      Delete
  2. wewe ndo fara kwani kupost picha ndo amemsema mtu? acha ufara wako pumbavu

    ReplyDelete
  3. jamani acheni kuchonganisha watu ile picha iliyopostiwa haina uhusiano na hicho mlichokiandika, nyinyi waandishi ndo mnakuza mabifu ambayo hayapo, heshimuni uandishi wenu

    ReplyDelete
  4. wivu mwingi mpaka mnajikojelea watu wazima ovyooo. vinuka midomo. halafu mkiolewa na Mama zenu? makenge wa tandale hasa huyo Anony 14.14.

    ReplyDelete
    Replies
    1. TENA WEWE NDO MNUKA KICHUPI AFADHALI ANAYENUKA MDOMO KULIKO UCHI, WEWE MAMA YAKO ALIFANYWAJE??? UNAJIONYESHA ULIVYO MJINGA NA MVIVU WA KUFIKIRI BWEGE WEWE NA AFADHALI ANAYETOKA TANDALE KULIKO WEWE USIYEJULIKANA UMETOKEA WAPI

      Delete
  5. bora amkubali Hamisa na mwanae maana hajui kuwa anaemtoa kimuziki siyo zari bali ni watz maana zari alimkuta tayari alishaenda hadi nigeria na wema kugombea tuzo... sasa bi. mkora anataka kutuaminisha eti yeye ndiyo amemtengeneza dai lo!! bila dai kutengenezwa na watz yeye angemjulia wapi!! bibi kadandia gari ka treni ya reli ya kati halafu eti anajitapa lo!! dai ebu geuka nyuma uangalie watz wenzio wanakufikiriaje au huyo bibie atakupoteza bure kwenye game... tunaongea kwasababu tunakupenda na si vinginevyo!! kwani mcheza kwao utunzwa".

    ReplyDelete

Top Post Ad