CHADEMA: Kipaumbele Cha Rais Magufuli ni Kununua Ndege? Hali ya Uchumi Inazorota!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


CHADEMA: Kipaumbele Cha Rais Magufuli ni Kununua Ndege? Hali ya Uchumi Inazorota!
Bonyeza hii link kuaangalia video kupitia Youtube
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Upuuzi mtupu. Wakati mwengine mtu hata kuwasikiliza hawa Chadema wanaboa. Kwani hizo ndege zimenunuliwa kwa dababu ya starehe? Ndege ni uchumi. Ndege ni moja ya kichecheo kikubwa cha uchumi hasa kwa nchi yenye vibutio vya kitalii kama Tanzania. Mkapa aliposema nchi hii imejaa wapumbavu hakukosea hata kidogo.

    ReplyDelete
  2. Watanzania wanajua Magufuli anafanya nini hizo kelele za kukurupuka ilimradi waonekane wanasema kitu ni moja ya dalili za kufilisika kisiasa.

    ReplyDelete
  3. Wazee wa kupinga kila kitu hata vile vitu vya manufaa kwa taifa. Tulishuhudia jinsi mlivyomkomalia muheshimiwa raisi achane kabisa kupigania haki ya Tanzania na watanzania katika makinikia ya dhahabu. Sasa kama upinzani ni kupinga kila kitu basi itakuwa hawa watu wameletwa kwa nia ya kuturejesha nyuma ipo haja ya kuleta suala la kupigwa kura ya maoni kwa watanzania kuamua kama mfumo wa vyama vingi unatufaa au la? Watanzania hatuhitaji upinzani tunahitaji maendeleo na maendeleo hayaji kama matokeo ya mechi ya mpira bali yanakuja baada ya mikakati kabambe itakayochochea ukuaji wa uchumi na wanauchumi wa dunia wanaichukulia Tanzania kama mfano kwa nchi zinazofanya vizuri Africa. Hizo cheap politics za kuwadanganya watanzania kuwa uchumi unazorota ni propaganda za kijinga kabisa kwani hata makinikia mlisema nchi itashitakiwa.

    ReplyDelete
  4. stupid man. Yaani hawa chadema siwapendi kwa mawazo ya kijinga, Yaani wanaonekana wapinga maendeleo. IQ ndogo sana hawa wajinga

    ReplyDelete

Top Post Ad