Ditto Afunguka Sababu ya Ngoma Zake Kutofanya vizuri

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Ditto Afunguka Sababu ya Ngoma Zake Kutofanya vizuri
BAADA ya ngoma zake mbili alizotoa hivi karibuni kudaiwa kubuma, staa wa Wimbo wa Moyo Sukuma Damu, Lameck Ditto ‘Ditto’ amefunguka kuwa habari hizo siyo za kweli, kwani kwa upande wake anaona ziko vizuri.

Akichonga na Risasi Vibes, Ditto alisema ngoma zake hizo ambazo ni Bembea na Nabadilika hazijabuma kwani siku zote amekuwa akifanya muziki ambao umekuwa na mashabiki wengi kwa hiyo hauwezi kukwama kwenye vyombo vya habari ‘media’ hata siku moja.“Nimeona kwenye mitandao ya kijamii watu wakidai nyimbo zangu nilizoachia hivi karibuni zimebuma, hilo si kweli maana kama ni video nimepeleka kwenye media mbalimbali na zinapigwa kwa hiyo watu waache kuzungumza vitu ambavyo havina ukweli ndani yake,” alisema Ditto.




----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad