Naanza Kuelewa Sasa Kwanini Rais Mstaafu Jakaya Kikwete Alikuwa Anakaa Kimya Bila Kutolea Matamko Baadhi ya Mambo...

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Ukiwaza na kuumiza kichwa Sana, na ukafikiria nje ya boksi kisawasawa ndipo utagundua kwanini JK mambo mengi alikuwa anaamua kukaa kimya na kuepuka kuyatolea matamko....nimejikuta nawaza Sana katika kipindi cha utawala wake, lile sakata letu (Tanzania) na Rwanda, hivi angekuwa ni mtu wa kujibu kila lililokuwa linarushwa toka upande ule, uhusiano wetu ungekuaje??????? Tungekuwa tumefikishana wapi??? Tungefika wapi??? Mtu aliamua kuonekana mjinga na mpumbavu lakini kumbe alikuwa ana maana kubwa Sana....

Seriously, nimejikuta nawaza Sana, japo wengi tulimkebehi kwanini hachukui hatua, lakini sasa naelewa ukimya wake ulimaanisha nini!

USINIULIZE KWANINI

By Patty Del Duero
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hujui unaloliandika ungeshilikisha kwanza mtu kwa kile unachokiandika.operesheni kimbunga unaikumbuka?

    ReplyDelete
  2. Hata Mimi nimeanza kuelewa ukiwa kiongozi wa nchi hupaswi kuongelea kila jambk unafaa upate muda was kufikiria kama hujasema

    ReplyDelete

Top Post Ad