Ommy Dimpozi Achukizwa na Diamond...Apost Picha Akiwa na Mama Diamondi na Kumshushia Maneno ya Shombo

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 Ommy Dimpozi Aliamsha Dude Apost Picha Akiwa na Mama Diamondi Ilioambatana na Maneno Mazito
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Ommy Dimpoz ambaye kwa sasa anafanya vyema na wimbo wake 'Kajiandae' akiwa na Alikiba ameamua kuingilia beef linaloendelea chini chini baina ya Ali Kiba na Diamondi.

Siku chache diamondi aliachia mashairi aliyoshirikishwa kwenye nyimbo ya Fid Q ambayo mashairi hayo Yalijaribu kugusa hisia za mashabiki na kuoneka Diamondi alimtupia madongo Ali Kiba.

Ommy Dimpozi Kupitia Akaunt yake ya Istagram ameandika maneno haya ambayo yalionekana wazi akimsema Diamond.

Ameandika 

"Barua ya wazi kwa binti yangu malkia wa nguvu"..."Salamu zako nimepata mwanangu hivi kweli wewe wa kukosa adabu na kuamua kunichamba mimi baba yako?.. kwani kuna ubaya kumtandikia kitanda baby wako king?
#Unanioneakwakuasijuikurap
#Sijuinamiminimkatae
#Kamayeyealivyomkataawamobetto
#Yaaniweweunamkataamjukuuwangu
#Unakubalikuleawatotowa5siowako
#Umerogwawwsioburemwanangu
#NilikuanajuanimezaaSIMBA
#Kumbenimezaakimba
#DavidonaeanalalamikakuhusuENIKA
#Umeletajanjajanjakwenyefollonu
#Ninayezalilikanimimibabaako
#Utakujakuniuakwapreshajomoni
#Hayanendakatungevesinyingine
#Rahayavitausichaguesiraha
#Babamalkia


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ommy mkomeshe huyo kazidi kutukana watu.anajifanya anajua sana, kumbe mpaka versi anaiba.

    ReplyDelete
  2. mtaka mengi nasaba, hukuta mwingi msiba. saizi yake mnuka mdomo.

    ReplyDelete
  3. Wengi mlio coment humu ni wapuuzi tena nadhan elimu yenu n standard #1

    ReplyDelete
  4. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete
  5. mbn kila mtu anaongea kivyake Jamani Oomy hajsema kama mlivo ya tafsiri na sidhani kama kamaanisha hivo apana mimi nakata Oomy ni kijana mpole sana diamond mbn anamtuka mara nyingi na hata siku moja hajamjibu sasa wewe daimond ndio ulio yaanzisha haya sasa unaingiza walio kuwamo na wasiokuwamo kuwa na akili achana na akili za kichokora

    ReplyDelete

Top Post Ad