AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Siku chache diamondi aliachia mashairi aliyoshirikishwa kwenye nyimbo ya Fid Q ambayo mashairi hayo Yalijaribu kugusa hisia za mashabiki na kuoneka Diamondi alimtupia madongo Ali Kiba.
Ommy Dimpozi Kupitia Akaunt yake ya Istagram ameandika maneno haya ambayo yalionekana wazi akimsema Diamond.
Ameandika
"Barua ya wazi kwa binti yangu malkia wa nguvu"..."Salamu zako nimepata mwanangu hivi kweli wewe wa kukosa adabu na kuamua kunichamba mimi baba yako?.. kwani kuna ubaya kumtandikia kitanda baby wako king?
#Unanioneakwakuasijuikurap
#Sijuinamiminimkatae
#Kamayeyealivyomkataawamobetto
#Yaaniweweunamkataamjukuuwangu
#Unakubalikuleawatotowa5siowako
#Umerogwawwsioburemwanangu
#NilikuanajuanimezaaSIMBA
#Kumbenimezaakimba
#DavidonaeanalalamikakuhusuENIKA
#Umeletajanjajanjakwenyefollonu
#Ninayezalilikanimimibabaako
#Utakujakuniuakwapreshajomoni
#Hayanendakatungevesinyingine
#Rahayavitausichaguesiraha
#Babamalkia
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Ommy mkomeshe huyo kazidi kutukana watu.anajifanya anajua sana, kumbe mpaka versi anaiba.
ReplyDeletemtaka mengi nasaba, hukuta mwingi msiba. saizi yake mnuka mdomo.
ReplyDeleteWengi mlio coment humu ni wapuuzi tena nadhan elimu yenu n standard #1
ReplyDeleteThis comment has been removed by the author.
ReplyDeletembn kila mtu anaongea kivyake Jamani Oomy hajsema kama mlivo ya tafsiri na sidhani kama kamaanisha hivo apana mimi nakata Oomy ni kijana mpole sana diamond mbn anamtuka mara nyingi na hata siku moja hajamjibu sasa wewe daimond ndio ulio yaanzisha haya sasa unaingiza walio kuwamo na wasiokuwamo kuwa na akili achana na akili za kichokora
ReplyDelete