Timbulo Atoa Makavu Haya kwa Ali Kiba na Diamondi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Timbulo Atoa Makavu Haya kwa Ali Kiba na Diamondi
Msanii wa Bongo Fleva Timbulo ambaye hivi karibuni amekuwa miongoni mwa wasanii wenye video bora kwenye Bongo Fleva na nyimbo kali redioni amefunguka kuhusu ushindani mkali wa AliKiba na Diamond.

Kwenye Instagram yake Timbulo anasema “Umefika wakati sasa tujifunze kupeana nafasi na kuamini kuwa kila mtu nafasi alonayo ni mungu amemuweka hapo, haya mambo yakutoa nyimbo kisa fulan katoa unaeza kuta mnaimsaidia mtu promo,
Tembea na hii:- Maandiko yanasema “anaejikweza atashushwa bali yule anayejishusha atakwezwa”
Like kama umma ungenyamaza kwa hili bac mawe yangepaza sauti!
Big up king kiba  @officialalikiba #seduceme is a smash hit Nb: Sipo #Ukawa wala #Ccm“

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad