Huyu Hapa Ndio Kipusa Aliemzuzua Diamond Platnumz na Kumtema Zari Kama Big G

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Umesikia habari za ikulu ya Madale kufuka moshi? Sahau kuhusu Hamisa Mobetto na wengine, mshindi wa BBA mwaka 2013 (The Chase) Dillish Mathews ndio habari ya mjini kwa sasa. Mrembo huyo ambaye ni raia wa nchini Namibia anadaiwa kuuingilia utamu wa Zari The Bosslady kwa kuwa na mahusiano ya kimapenzi na Diamond. Mfahamu zaidi malkia huyo kwa picha hizi hapa chini.



----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. HAMPATI ZARI KABISAAAAA

    ReplyDelete
  2. Mie naona mrandaoni. Lakini mzuri pia

    ReplyDelete
  3. hampati huyo bi kizee kwa nn? mnadanganywa na editing zake za kuweka makeupp na kubana mdomo!

    ReplyDelete
    Replies
    1. ahahaaaa watu mna maneno sana humu

      Delete
    2. Huyo uliomuona Dilish hana make up?.mfate kijiji kwao utamkimbia.Zari kiboko yenu
      huamini kama anawatoto wengi ,bado anadai. .

      Delete
  4. ZARI MOTO WA KUOTEA MBALI,NAWEZA SEMA TOP TEN YENU YA KIBONGO HAPO ET BEAUTIFUL GIRLS N LADIES ATAONGOZA ZARINA HASSAN....UKWELI USEMWE NA UONGO HUJITENGA..HAO WAREMBO WETU WENYEWE WANAKIMBILIA KUWEKA MAKALIO YA KICHINA,MACHUBUZI MPAKA KUPITILIZA ,IQ,ZAO HAZIMFIKII THE BOSSLADY ZARI..HAWANA AKILI YA BIASHARA AU NAWEZA SEMA MISINGI YAO KIDUCHU AU WAKIHONGWA NA WAO WANAHONGA KAZAI KWELIKWELI..ZARI OYEE thumb up..na wenye wivu naye wajinyonge..

    ReplyDelete
  5. ila mtoto dillish mkali bana namfanaisha na RIHANA au ww unasemaje?

    ReplyDelete

Top Post Ad