Katibu Mkuu wa Chama cha Sauti ya Umma Amuangukia Rais Magufuli Amuomba Milioni 32

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Katibu Mkuu wa Chama cha Sauti ya Umma Amuangukia Rais Magufuli Amuomba Milioni 32
Katibu Mkuu wa Chama cha Sauti ya Umma(SAU), Jonson Mwangosi na familia ya Dk Paul Kyara inaamuomba Rais John Magufuli kuwaidia kiasi cha Sh32 milioni kwa ajili ya kwenda kutibiwa figo zake mbili  katika hospitali ya Shijiazhuang iliyopo nchini China.

Mwangosi amesema mwenyekiti wa chama hicho Dk Kyara anaumwa figo zote mbili tangu mwaka 2012 ambapo alienda nchini India mara mbili hivyo kwa sasa anafanyiwa matibabu ya kusafisha figo mara tatu katika hospitali ya Regency lakini bado ufumbuzi haujapatikana.

Amesema wakati anaendelea na matibabu hayo walimpata daktari mwenye mawasiliano na daktari wa hospitali ya  Shijiazhuang, Dk Bryat ambaye alimtumia dawa ambazo zimeonyesha mafanikio ikiwemo kupata haja ndogo tofauti na awali alivyokuwa.

Mwangosi amesema kutokana na mafanikio hayo kuonekana hivyo amepewa rufaa ya kwenda kutibiwa katika hospitali hiyo ambapo atatibiwa bila ya kuongezewa figo nyingine.

"Hadi sasa afya ya Kyara sio mbaya kama ilivyokuwa awali kwa sababu sasa anaendelea kutumia dawa za hospitali hiyo hivyo anahitajika akafanyiwe matibabu zaidi nchini China,"amesema.

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad