Joshua Nassari Ampa Ushauri Huu Zitto Kabwe

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Joshua Nassari Ampa Ushauri Huu Zitto Kabwe
Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nasari amemshauri mbunge mwenzake Zitto Zuberi Kabwe, kuongeza ulinzi madhubuti ili kujiweka salama.

Kwenye ukurasa wake wa twitter Joshua Nasari ameandika ujumbe huo, akisema kwamba kuna haja ya Zitto Kabwe kufanya hivyo kwani wakati uliopo sio salama tena.
"Nadhani ni wakati sahihi sasa ndugu yangu Zitto Kabwe ukaongeza ulinzi wako binafsi, nyakati hizi si salama tena kama tudhaniavyo", ameandika Joshua Nasari.
Hivi karibuni baadhi ya wabunge wa upinzani wameripoti kuhofia usalama wao, kwa kufuatiliwa na watu wasiojulikana na kutishia maisha yao.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Zito yeye aanashida maaana umeaikia marangapi anatafutwa na police mpaka leo ajakamatwa

    Pia ulinzi ni kwa Mungu na sio kutoka kwa mwanadamu

    ReplyDelete
  2. hahahah! usiogope kivuli chako dogo, UKILIKOROGA-UTALINYWA.............

    ReplyDelete

Top Post Ad