John Heche Amewachana Wanaomshauri Nassari

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

John Heche Amewachana Wanaomshauri Nassari
Mbunge wa Tarime Vijijini John Heche amewachana wafuasi wa Chama Cha Mapinduzi kwa kuwaambia kwamba wataendelea kuwapata wafuasi wachumia tumbo na kwamba yeye na wengine wameamua kuchagua upande wa ukweli.

Heche amefunguka hayo baada ya kijana anayedhaniwa kuwa mfuasi wa CCM kumshauri Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari kama anataka kujiendeleza Kisiasa.
Baada ya ujumbe huo Heche imemlazimu kusema kwamba "Hizi ndio akili za kijinga za ccm kufikiri kila alieamua kuingia kwenye siasa anatafutia tumbo lake au utukufu binafsi wengine tanajua kwamba CCM ipo lakini tumechagua upande wa ukweli pamoja na maumivu tunayoyapata tutavuka na tutafika ng'ambo".

Ameongeza kwamba "Wachache wachumia tumbo mtawapata. Watu wenye moyo mwepesi ndio mnaamini hivyo jiulize wale waliopambana na wakoloni wangekua na fikra hizo leo tungekua huru?

Ujumbe wa Nassari uliopelekea Mshauri huyo kujitokeza
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hahaha! wengine wanachumia tumbo, kwani wewe Heche unachumia nini.....u....oo?? Hayo ni maneno ya mkosaji tehetehetehe

    ReplyDelete
  2. Why not fair and free ! Hahahaaaaaaaaa.watu wengi tumeona .mwangaza uko njiani .dhulma haikai na nuru .

    ReplyDelete
  3. Wengi Watanzania Wajinga, Hawajapevuka kisiasa wala kielimu. Ni kama maji yafuatayo mkondo. Elimu za Watanzania wengi ni hasi. Hawana uzalendo wa jadi wakujiheshimu hata wenyewe. Na hii ni Hatari sana. Mtu asiyejiheshimu ni kama kopo tupu, upepo ukipiga linatikisika. Ndo maana unawaona watu wanasimama kidete msukosuko ukiingia wamedondoka. Akina Kafulila nawengi tu. Inajionyesha wazi hawajapevuka bado. Ni shidda sababu hata aibu kwa watu kama hawa hawana. hawajijui. Ujinga ni hatari kuu kimaendeleo. kutokujielewana kujiona mwelevu, ndo hili nalizungumzia. Ni kifo cha maendeleo.

    ReplyDelete

Top Post Ad