Baada ya Nuh Mziwanda Kujitapa Kulala na Shilole Wiki Moja Kabla ya Haru Shilole Amtolea Uvivu Nuh

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Shilole Amtolea Uvivu Nuh Mziwanda "Nuh ni sawa na Mfa Maji Asiyeishi Kutapatapa"
BAADA ya habari kuzagaa kwenye mitandao ya kijamii na mwanamuziki Naftal Mlawa ‘Nuh Mziwanda’ kuandika katika ukurasa wake kwamba alilala na mpenzi wake wa zamani, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ wiki moja kabla ya kufunga ndoa, mwanamama huyo ameibuka na kumtolea maneno makali.

Akipiga stori na Mikito Nusunusu, Shilole ambaye alifunga ndoa na Uchebe wiki iliyopita alisema, Nuh ni sawa na mfa maji asiyeisha kutapatapa hivyo anatakiwa kupambana na hali yake.

“Sitaki kumzungumzia Nuh kwa sababu mimi na mume wangu tunamuona ni mfa maji anayetapatapa tu, namshauri tu apambane na hali yake aache kufuatilia na kutaka kuharibu maisha ya watu,” alisema Shilole.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad