Meya wa Ubungo Afunguka Kuhusu John Mnyika "Yupo Kwenye Mikono Salama Siyo wa Kununuliwa kwa Kuahidiwa Vyeo"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Meya wa Ubungo Afunguka Kuhusu John Mnyika "Yupo Kwenye Mikono Salama Siyo wa Kununuliwa kwa Kuahidiwa Vyeo"
Meya wa Ubungo, Boniface Jacob amewataka wanachadema watulie kuhusu Mbunge wa Kibamba John Mnyika kwani yupo kwenye mikono salama na kwamba kiongozi huyo siyo wa kununulika kwa kuahidiwa vyeo.

Meya Boniface amefikia hatua hiyo baada ya kuwepo kwa taarifa zinazoenea kwa kasi kwamba Mbunge Mnyika amejivua uanachama wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo pamoja na nafasi yake ya Ubunge.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram Meya Boniface amerusha jiwe gizani kwa kutuma ujumbe kwa mtu anayempigia simu Mnyika kwa kumshawishi ahame chama kwamba aache kwani wao huwa wanamrekodi.
"Mwambieni Baba yenu aache kupiga simu ovyo, tumemrekodi na tutaendelea kumrekodi tumuaibishee......any time atume sms au apige tena aone..." Meya Boniface.
Ameongeza "Mnyika siyo dizaini ya hao unaowapigia simu na kuwahahidi vyeo na madaraka ya kuhongwa.....Tunakuweka loudspeaker tunakusikiliza tu.....ukikata simu tunacheekaa....Eti unamwambia binadamu mwenzako unamtaka kwa gharama yeyote.......ili nini?
Mwisho wa wiki hii kullikuwepo na habari inayosambaa kwa kasi mitandaoni ikisema kwamba Mnyika amejivua nafasi zake zote za uongozi ndani ya chama.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mbona mnamjibia?? Kwanini asijibu mwenyewe?? au wewe ndio msemaji wake??
    Nawewe Boniface tunakutaka kwa gharama yoyote.............unasemaje??

    ReplyDelete

Top Post Ad