Nuh Mziwanda Afunguka Kuhusu Mistari ya Nyimbo Aliyoandika Baada ya Kuolewa Shilole

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Nuh Mziwanda Afunguka Kuhusu Mistari ya Nyimbo Aliyoandika Baada ya Kuolewa Shilole
Aliyekuwa mpenzi wa zamani wa Shilole, Nuh Mziwanda amefunguka kuzungumzia mistari ya wimbo wa Mwana FA, ‘Bado Nipo Nipo’ aliyoipost muda mchache baada ya aliyekuwa mpenzi wake huyo wa zamani kuolewa na kijana anayetambulika kwa jina na Uchebe.

Mapema Alhamisi hii muimbaji huyo aliandika “Aliyelala na bibi harusi wiki moja kabla ya harusi na wala sio bwana harusi bado mnanishauri harusi’ kauli ambayo ilitafsiriwa na wadau wa mambo kwamba dongo hilo linaenda kwa Shilole na Uchebe.

Ile post mimi nimeweka kwasababu ni msemo ambao nimeupenda na sipangiwi cha kukiposti na nimeandika si kwa ubaya na sijamtagi mtu hivyo nisinukuliwe vibaya coz niliandika na wala sikufikiria watu wangeusisha na harusi ya shilole ila ninavyojua hivi vitu vipo vinatokea kwa watu unamkuta bibi harusi kesho no harusi yake na analala na mwanamume mwingine.

Mimi na Shilole toka tuachane hatujawahi kurudiana ila uwa tunasaidiana pale inapoitajika kama kafiwa siwezi kuacha kwenda kumfariji kwakuwa tumeachana haipo hivyo na hata ngoma yangu ya sasa kuna baadhi ya vitu amenisaidia kuingiza.

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad