Wolper Ajiongeza Kwenye Birthiday Yake kwa Afanya Sherehe na Kuzindua App

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Wolper Ajiongeza Kwenye  Birthiday Yake kwa Afanya Sherehe na Kuzindua App
Msanii wa wa filamu, Jacqueline Wolper Alhamisi hii amefanya sherehe ya kusherekea birthday yake ambapo pia ametumia sherehe hiyo kuzindua App yake itwaayo, Wolper Stylish.

Party hiyo ilihudhuriwa na mastaa mbalimbali wa muziki akiwemo Diamond Platnumz.

Muigizaji huyo alisema app hiyo itawasaidia mashabiki wake kupata taarifa mbalimbli zinazohusu maisha yake, kazi pamoja na kampuni yake ya ubinifu wa nguo.

Wolper siku jana mchana alianza kusherekea ziku yake ya kuzaliwa kwa kula chakula cha mchana na watoto yatima.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad