Picha: Rais wa Msumbiji Atua Nchini

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Picha: Rais wa Msumbiji Atua Nchini
Rais wa Msumbiji, Filipe Nyusi amewasili mjini Dodoma kukutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli.





-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Karibu Dodoma...Hivi ndivyo tunavyo taka wa Dodoma..
    Unamtaka Raisi wetu....Mfate Makao Makuu Dodoma.
    Ni shwari na Salama.
    Karibuni Sana Dodoma

    ReplyDelete
  2. Mswano karibu ndugu yetu rais Nyussi, jisikie nyumbani, tunakupenda

    ReplyDelete
  3. Ukweli wenyewe mpaka Dodoma kuwa ni moja ya Historia ya Msumbiji. Ni kwamba Melehemu Samora Michael alipokuwa Mwana Harakati alikuwa hapo Kambi ya Kongwa wakati wa Frelimo.

    Ndugai unasemaje Mwaha?
    Kwa hiyo Nyussi amekuja kwao tu. Kwi Dodoma na Mkulu Alibaho.
    Karibuni sana na Tunawapenda sana...!!!! Watujengee Hosteli kwa Jina la Samora Macheli na Kliniki ya kina Mama ( Social Responsibility kwa wana Dodoma)

    ReplyDelete

Top Post Ad