Wolper Amuunga Mkono Faiza Kuweka Picha Akiwa Leba Anajifungua " Wabongo ni Washamba"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Wolper Amuunga Mkono Faiza Kuweka Picha Akiwa Leba Anajifungua " Wabongo ni Washamba"
STAA wa filamu Bongo, Jacqueline Wolper amesema kuwa, anamuunga mkono muigizaji Faiza Ally kwa kitendo chake cha kuweka picha inayomuonyesha akiwa mtupu katika chumba cha kujifungulia (leba).


Wolper alisema anawashangaa watu wanaomponda Faiza aliyeposti picha hiyo hivi karibuni katika ukurasa wake wa Instagram, wakati yeye amevutiwa sana na kitendo hicho na ipo siku atamuiga.

“Wabongo ni washamba, ushamba unawasumbua sio kingine. Sioni ubaya wa hiyo picha hata kidogo, eti katudhalilisha, kamdhalilisha nani sasa pale, mimi nimefurahi mno tena nitamuiga nikijaaliwa kupata mtoto,”alisema Wolper.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Okay watu waliompigia kelele yule mdada aliyekamatwa na polisi kwa kumvisha mdada wenzake Pete ya uchumba ni washamba kwa sababu wazungu hicho ni kitu cha kawaida sana kuliko hata kuyaachia matiti wazi au kuonesha mtoto anavyotoka kwenye uchi wa mamake. Hapana hashaka hata mtu kuiga mambo ya kijinga ya kizungu yaliyo kinyume na tamaduni za kiafrica kama ushoga,usagaji,kutembea uchi ni ushamba uliopitiliza mipaka. Sasa huyo Wolper anae uunga mkono hayo mambo hana haja ya kusubiri mpaka ajifungue ili ajianike uchi wake anaweza kuyaanika matako yake kwenye mitandao hata sasa. Ulimbukeni,upumbabu wa kufikiri yakwamba kujiachia uchi ndio ustaa ni ushamba na ugonjwa wa akili.

    ReplyDelete
  2. Huyu Jackline ni mnafiki au anajipendekeza kwa faiza. Ni Jack huyuhuyu alijifanya kulia kipindi kile hawara yake mkongo alipo mpiga picha za uchi, leo anasema na yeye atamuiga Faiza. Namuomba mkongo popote pale alipo,kwa sasa anaweza kuzitupia tu zile picha za uchi, asiwe na wasiwasi, hata mwenyewe Jack atafurahia.

    ReplyDelete

Top Post Ad