Diva: Kama Huna Milioni 500 Huwezi Kunioa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Diva: Kama Huna Milioni 500 Huwezi Kunioa
Mtangazaji wa Clouds Fm Loveness Malinzi maarufu kama Diva the bawse amefunguka  kuwa hawezi akaolewa na mwanaume yoyote bila  kutokew mahari ya shilingi milioni 500.

Hii sio mara ya kwanza kwa Diva kuweka kigezo cha kuolewa na mwanaume mwenye pesa mbele kwani mara nyingi amekuwa akisema kuwa hawezi akaolewa kwa mahari ndogo.

Siku ya jana kupitia ukurasa wake wa Instagram Diva amekumbushia Tena vigezo vikubwa kwa mwanaume ambaye atakubali amuoe ambavyo ni awe tajiri kiasi ya kwamba aweze kutoa mahari ya milioni 500 lakini pia awe anajua kuongea kingereza:

"Kunioa ni milioni 500….set that jokes aside am deadly serious….make sure uwe unaongea English yenyewe hasa… uwe smart uwe handsome…..uwe loaded…No broke niggas in 2018 tupendane kwa faida, you can say wheteves just heard worse, seen worse SMHFG Nothing mean to me…..harsh ain’t new to me I heard it all…..Mwenye povu hana hela ruksa na povu lako nina Omo na jiki plus toothbrush na Colgate jus there for you dummy”.

Diva ametangaza ruksa mwenye hizo sifa ajitokeze hii imekuja baada ya kuachana na mpenzi wake msanii wa Bongo fleva Heri Muziki baada ya kutoswa hewani.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hiyo picha yake sio poa
    https://maisha360tz.blogspot.com/

    ReplyDelete
  2. Kwa kipi cha ajabu au kipya katika huo mwili wako?mark my words umekuja mtupu na uta ?ondoka mtupu unless etherwise unafanya joke

    ReplyDelete
  3. Hata huyo atakaekutolea milioni kumi tu hutampata vinginevyo umejaa dhahabu mwili mzima huo ni kuoyesha kuwa hata hiyo ndoa hutaipata na ukipata haidumu

    ReplyDelete

Top Post Ad