Kwanini Ali Kiba Hapati Offer za Matangazo ya Makampuni Makubwa kama Diamond Platnumz?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Nnje ya mziki biashara ya matangazo kwa makampuni makubwa imekuwa inalipa wasanii wengi na hivi majuzi Diamond amevuta mkwanja wa Billioni 1 kukitangaza kinywaji cha ufaransa cha Bllaire

Lakini king kiba hapati offer za matangazo makubwa kwa nini?

Hana mvuto au hana management nzuri inayomuunganisha na makampuni?

Na kama hataki pesa ndogo kutoka kwa makampuni kwa nini bado anapiga show za bei raisi za fiesta na zile za vichochoroni za club za ulaya?

By Mtotomtamuu
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. inaelekea wewe mwandishi uliandika ni shabiki wa Diamond, kama Alikiba hataki kufanya matangazo utajuaje sababu ninavyomjua Alikiba hapendi kujionyesha onyesha hovyo na pia maisha yake hapendi kuyazungumzia kwenye media na hata kama akipiga shoo vichochoroni Ulaya hiyo ndiyo kazi anayoipenda hata kama akilipwa hela ndogo kazi yake ni uimbaji na kupiga shoo na sio matangazo hapo mdau ulieandika utakuwa umenielewa vizuri saana

    ReplyDelete

Top Post Ad